Ben saa8 amewahi kulipa mishahara ya simba??
Au lisu amewahi kununua basi la team yoyote..?
"Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!" Na: InvisibleLakini MO amemlipia scholarship jamaa yangu ambaye hio hela ya scholarship tunaitafuna wote..
Unategemea wakipotea wote ntamsikitikia nani??
Acha upuuzi wako wewe... yaan awalaani wasiozaliwa?? HUYO SIO MUNGU AMINI HIVYO..Wewe ndio uache upuuzi..
Hata Mungu hakutuumba sawa.
Kuna watu hata kwenye biblia Mungu amewachagua tangu hawajazaliwa na kuna wengine amewalaani hata kabla hawajazaliwa.
Unaanzaje kusema Watu tuko sawa..
Akipotea baba yako na akipotea baba yangu utaumia sawa sawa??
Kila mtu anathaminiwa kulingana na mchango wake..ndio maana waziri mkuu hapangi foleni barabarani lakino wewe unapanga wakati wote ni binadamu
Ninayo majina ya rafiki zangu waliokuwa very bright class lakini walifeli mitihani kwa sababu ya mshtuko wa vifo vya wapendwa wao siku chache kabla ya paper , kinachozungumzwa hapa ni tukio linalolikabili soka la Tanzania muda mfupi kabla hawajaingia uwanjani , MO ni mdau wa soka wa kiwango cha juu kabisa , kwamba kutekwa kwake kusistue Taifa Stars ni akili ya kiwango cha chini sana !I didn't expect you to go this low!
Yani unamsikitikia Mo kwa sababu amenunua basi la Simba ila Ben Saa nane hakuweza? Like serious?
Kama mtu hatoi scholarships basi yeye anafaa kutekwa au kuuwawa sio?
Yani hapo ulipoongelea nduguyo kupewa scholarship na wewe ukaitumia hela yake ndio umeonyesha kwamba unasikitikia your economic interests na sio uhai au usalama wa Mo Dewji.
As a matter of fact, Tanzania ni yetu sote. Kila raia anayo haki ya kuishi kwa amani bila kujali hali yake kiuchumi, au mlengo wake kisiasa!
Humanity first, Bring back Mo Dewji.
# Justice for Ben Saa Nane
# Stay strong Tundu Lisu
Siku nyingine kabla hujaandika kujibu hoja ya mtu, soma kwanza hoja yake na uangalie alikua anamjibu nani na huyo aliekua anajibiwa aliandika nini.Ninayo majina ya rafiki zangu waliokuwa very bright class lakini walifeli mitihani kwa sababu ya mshtuko wa vifo vya wapendwa wao siku chache kabla ya paper , kinachozungumzwa hapa ni tukio linalolikabili soka la Tanzania muda mfupi kabla hawajaingia uwanjani , MO ni mdau wa soka wa kiwango cha juu kabisa , kwamba kutekwa kwake kusistue Taifa Stars ni akili ya kiwango cha chini sana !
Tunapoandika haya hatumaanishi tunadharau wengine walioshambuliwa au kutekwa kama Lissu na Ben au labda mwingine yeyote , mimi niko Chadema na nina uchungu na hao watu labda hata kuliko wewe , lakini hili halinizuii kuandika mengine yanayofanana na kushambuliwa kwao , kwahiyo acha tabia mbovu ya kudhani tunamjali zaidi MO kuliko wengine , Mimi ninao uzi kwenye jukwaa hili wa kupinga MO kuuziwa hisa za Simba , lakini hilo halikunizuia kuzungumzia kutekwa kwake
Nakumbuka world cup 2014 Brazil ..mchezaji wa Ivory Coast Serey Die alifiwa na baba yake...akakataa kurudi nyumbani kwenye msiba mpaka amalize mechi..msiba ulisogezwa mbele...itakuwa Mo huna undugu nae...kwanza kwenye kuuzwa hisa za Simba kulikuwepo matajiri watatu Mo akawaonga wakina Manara wapitishe jina lake..akitoweka MTU mwingine atanunua hisaBen saa8 amewahi kulipa mishahara ya simba??
Au lisu amewahi kununua basi la team yoyote..?
Usitake binadamu wote tuwe sawa..kila mtu anathaminika kulingana na mchango wake kwenye jamii husika..
Mimi personally ben saa8 nimemjulia jf.
Lakini MO amemlipia scholarship jamaa yangu ambaye hio hela ya scholarship tunaitafuna wote..
Unategemea wakipotea wote ntamsikitikia nani??
Binadamu anathaminika kulingana na mchango wake..
Ndio maana hata mzazi wako akipotea na akipotea mzazi wa mwingine maumivu ni tofauti..
#watu hawawezi kufanana
Ahaaaa...kumbeNakumbuka world cup 2014 Brazil ..mchezaji wa Ivory Coast Serey Die alifiwa na baba yake...akakataa kurudi nyumbani kwenye msiba mpaka amalize mechi..msiba ulisogezwa mbele...itakuwa Mo huna undugu nae...kwanza kwenye kuuzwa hisa za Simba kulikuwepo matajiri watatu Mo akawaonga wakina Manara wapitishe jina lake..akitoweka MTU mwingine atanunua hisa
Dk 36 , Cape Verde 2 - Kichwa cha mwendawazimu 0Ngoja niwahi kutengeneza mkeka niwape Cape Verde nitie stake tembo
Nafukua kaburiBado sijafahamu ni kwanini wachezaji wa Taifa Stars wamekata tamaa baada ya Taarifa za kutekwa MO kuwafikia rasmi kwenye kambi yao , lakini ukweli unaofahamika ni kwamba kambi imedorora na imejaa huzuni tupu.
Mtoa taarifa anasema kwamba ingewezekana timu yetu ingejiondoa kwenye mchezo wa kesho kutokana na huzuni iliyotanda kambini , kwa vile hilo haliwezekani basi hata tukiingiza timu ni wazi tutachezea kichapo tu .
Inahuzunisha sana !
wewe bila shaka si mzalendoNafukua kaburi
wewe bila shaka si mzalendo
Wazalendo wote waliotoka povu mwanzo wamekimbia !Siwezi kuwa mzalendo kwa timu mbovu kama Stars
aisee!!Wazalendo wote waliotoka povu mwanzo wamekimbia !