Baada ya Msigwa kuishambulia CDM mfululizo, sasa yuko kimya kabisa kamuachia Lissu, wamejipangilia kutudhoofisha? Tuamke!

Baada ya Msigwa kuishambulia CDM mfululizo, sasa yuko kimya kabisa kamuachia Lissu, wamejipangilia kutudhoofisha? Tuamke!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naona kama kuna mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea uchaguzi. Lissu akiwa anatumika na dola yuko mstafi wa mbele kutengeneza mgawanyiko hasa baada ya Msigwa kuishambulia sana Chadema, lakini akagonga mwamba.

Wana chadema, tukija kustuka, chama chetu kitakuwa hoi bin taaban, watu watahujumiana kwenye uchaguzi, na baada ya uchaguzi, Lissu hataongoza chama kwa amani kwa kwa atakiwa akipingwa katika vikao, na baadae atapigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na atafukuzwa uanachama.

Kura za ngazi ya urais kama Lissu akigombea zitahujumiwa na mahasimu wake wa kisiasa ngazi za chini.
 
CHADEMA ni mali yetu Wachagga, tafuteni chama kingine mpeleke fujo zenu huko.
 
Back
Top Bottom