Obhwatombwaga
Member
- Dec 29, 2014
- 65
- 46
Mkuu hizi ni porojo za ''wanasayansi wa Bongolala. Sehemu nyingine zote duniani hakuna masharti kama haya. Nasisitiza, chanjo haiingiliani na chakula aua dawa. Hii ni kwa mujibu wa WHO na pia watengezeaji wa chanjo zote zilizopitishwa na WHO.Dah yaani juzi tulichoma asubuhi jioni tukaenda club kujipongeza.. Na tuligida ulabu hasa
Unaweza kunywa au kula chakula/kinywaji chochote. Achaneni na hizi sayansi za wataalam wa BongoKuna jamaa yangu baada ya kuchanjwa tu katia pariki sijui nacho ni kilevi?
[emoji3][emoji3] ukiwa single hiki kipengele ni rahisi.Hata kuchakatana hairuhusiwi kwa saa 72
Naomba kuuliza,je kama MTU anatumia dawa,yaan yupo katika dozi YA MALARIA,NA PIA ANATUMIA DAWA ZA PRESHA..ANAPASWA KUCHANJWA?Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi.