mwana wa mtemi JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 374 Reaction score 204 Apr 22, 2016 #1 Nasikia walienda dispensary usiku wakimsihi wana mgonjwa alipotoka akachinjwa. Waliopo Geita watujuze vinginevyo hali yazidi kuwa tete kama ni kweli kwa watumishi wa afya nchini
Nasikia walienda dispensary usiku wakimsihi wana mgonjwa alipotoka akachinjwa. Waliopo Geita watujuze vinginevyo hali yazidi kuwa tete kama ni kweli kwa watumishi wa afya nchini