Baada ya muda mrefu nimekutana na vitabu vizuri sana vipitie

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Mwaka haujaisha lakini na recomend kwako acha kila kitu usome hichi kitabu, once nilikua sisomi vitabu mpaka nilipoanza kukisoma hichi sijawahi kupata kingine zaidi ya hichi, Kama kuna mtu anacho kitabu cha hivi cha story nzuri Kama hiki (based on try story) aseme hapa niongeze kwenye library yangu.



Nilivyomaliza nikawa kwenye tafakari ya hicho kitabu na maisha wanayohishi watu wa Afghanistan, nikachungulia movie moja inaitwa BLACK BIRD


Pia na yenyewe ni true story nakushauri ukiwa free pakua huo mzigo unafikirisha sana na imani Siku yako itakua nzuri.

Mwisho ni Hii hapa episode 10 tu inaitwa 1883



Rate yake ni 8.8/10 ni movie ambayo haitokupotezea mda wako..

Kudownload kitabu PDFdrive.com
Series hizo, info netnaija, staga TV au nkiri

Je kwa mwaka huu kuna series Kali Kama hizo hipi unaijua niongeze kwenye list
 
Shukrani sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…