Baada ya mvua, ni mwendo wa kumbikumbi

Wanaongoza kwa kula maiti.

Vichugu vingi vipo karibu na
Makaburi,na kama ulikua hufahamu hao ndio malkia na
Wafalme wa mchwa

Shauri yako we jisosomoe Tu.
Ndio unachoogopa mkuu?!
Mbona wewe unakula vinyesi vya kuku ng’ombe na sometimes binadam kupitia mboga za majani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…