Baada ya Mwamba Baltazar Kufanya Yake Kwa Wake za Vigogo, Je Bado Mnaamini Pesa Ndio Kila kitu Kwa Mwanamke?

Baada ya Mwamba Baltazar Kufanya Yake Kwa Wake za Vigogo, Je Bado Mnaamini Pesa Ndio Kila kitu Kwa Mwanamke?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Asilimia kubwa ya Wanawake ambao mwamba Baltazar amewapelekea moto ni wake za Vigogo , viongozi Mashuhuri na watu ambao pesa kwao sio tatizo.

Sasa wale wanaosemaga pesa ndio Kila kitu Kwa Mwanamke waje waeleze kwamba nini kiliwaponza hao wanawake wa mboga saba.

Binafsi naamini pesa ni muhimu ila sio kipaombele Kwa mwanamke achilia mbali waanaojiuza ambao nao Huwa na wapenzi wao.

Kipaombele kikubwa Cha mwanamke ni mambo yanayosisimua hisia zake Ili afurahi na hapa players, mabitozi,wanaume Malaya,walevi na wengine wa dizaini hiyo Huwa wanajimegea kirahisi sana maana wanajua kucheza na hisia zao bila kujalisha ni Mke wa Kigongo au kayumba,wote ni wale wale.Pesa ni kichicheo tuu.

Hata Mimi nimewahi jaribu kufanya hayo maigizo na nilifaulu Kwa wake za watu ndio nikagundua usije wekeza akili Yako na Nguvu kuubwa Kwa mwanamke eti unamuamini sana na unampenda,atakuina mjinga.

Mara nyingi mwanamke Kila ambacho anajifanya hapendi na hafanyi basi ujue ndio Huwa anapenda na anafanya, wanawake wanapenda sana kufanya ila sio kufanywa Kwa kuleta ustaarabu,aisee watakuona mjinga.Hao watu wafanye vyovyote na popote watakuona wa maana sana tofauti na kujifanya unawajaali saaana.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB_pO4Xi6uv/?igsh=YzI2djEwaHdjOXRl

My Take
Binafsi kazi ya kufurahisha mwanamke ilishanishinda na Wala sifanyagi maana nimewaona wengi wanaojifanya kufurahisha wanawake wameumia,naamini kwenye ubabe kiasi,kutajali kiviile na kuwafanya in rough way,hizo mbinu zimenilipa ila wale wastaarabu wanalia Kila siku 😁😁😁😁.👇👇

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1854847101118582862?t=0mJgK5tJz4ZMP-LowhDhQg&s=19
 
Ni Wanaume wajinga watakaotafuta Pesa kwaajili ya Wanawake

Kîla Mtu atafute Pesa kwaajili yake mwenyewe

Mwanamke atafute Zake
Mwanaume atafute Zake
Ndîo maana kîla Mtu anatakiwa kufanya Kazi íwe ni Mwanamke íwe ni mwanaume
 
Back
Top Bottom