Baada ya mwana JamiiForums Maarufu Kutoswa na CCM huko EALA, nimeamini 99% ya Waandamizi wa CCM wapo JamiiForums 24/7

Baada ya mwana JamiiForums Maarufu Kutoswa na CCM huko EALA, nimeamini 99% ya Waandamizi wa CCM wapo JamiiForums 24/7

Unahangaika sana ila kwa taarifa tu Paskali ameoa, umetoka kumpongeza mara katoswa unamkandia…. pumbavu popoma mmoja.
 
Lakn anko pasko anaandamwa sana humu Jukwaani🤣🤣🤣. Lakini uzuri wake wala hagombani kwa maneno, yeye ni mwendo wa kubonyeza "thanks" na kuendelea na safari.
Iko siku atashusha gazeti hapa la kuelezea kilichotokea na maisha yataendelea.
Kila la heri bwana pasko. Kwan kukosa teuzi shida iko wap? Hata hapo kwenye mji wako wewe ni kiongozi yatosha.
 
Acha roho mbaya na unafki....jeneza lako wapo kutafuta mti
 
Mfumo wa sahvi haiwataki watu wa aina ya paskali

Ova
 
Back
Top Bottom