Baada ya Mwekezaji kukata tamaa Dkt. Kigwangalla asema yuko tayari kununua Hisa awe Mwekezaji mpya!

MO akiondoka Simba, Simba HAIWEZI kufika popote. Nimekaa pale!!!!
Mimi ni Yanga.
Hili unaloongea ni UJUHA
Mo sio Simba..wala mafanikio ya simba, simba ilikuwepo kabla ya Mo na ilifanya vizuri.

Bila Mo simba itakuwepo na itafanya vizuri...msingi ni pesa pesa pesa.

Mo akiondoka leo kesho ataingia mwingine mfadhili asiye na masimango ya kike
 
Mwambie hana heraaa.., kama vp aanzishe yake pale Nzega.
 
Simba ni yetu,awepo mo asiwepo,Simba tutasimama🤣🙏
Mimi ni Yanga.
Hili unaloongea ni UJUHA
Mo sio Simba..wala mafanikio ya simba, simba ilikuwepo kabla ya Mo na ilifanya vizuri.

Bila Mo simba itakuwepo na itafanya vizuri...msingi ni pesa pesa pesa
 
Hiyo pesa inatoka wapi bila uwezekaji? Unafikiri Chelsea, kwa mfano, ni wajinga kuwa na mwekezaji? Unajua kwanini Inter Milan inatajwa kuwa imefirisika? Unafikiri Simba ingekuwa ina hela MO walimkaribisha wa nini?
 
Tatizo hujanielewa.
Nilimaanisha mo akiondoka atawekeza mwingine
 
Ahahahahaha! Yaani mnamkejeli mwekezaji aliyepo ukitarajia aje mwingine ambaye hujui kama atakuja!? Usisahau, a bird in hand worth two in the bush! Ahahahahaha! Au unamaamisha Mwekezaji Kigwangalla? Ahahahahaha!
 
Kwa taarifa yako simba na Yanga ni team lengwa kwa wafanyabiashara wakubwa.

Pili Mo anajikejeli mwenyewe kwa kuisimsnga simba kila mara anaiona mzigo
 
Kuna mfanyabiashara gani mkubwa Tanzania kumzidi MO?
 
Pesa za kuwekezea anategemea kukopa kwa Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…