Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Kwa utafiti wangu nimebaini Marekani inazo taarifa ya kuwa JK yu hoi na huenda akatafuta namna za kubaki madarakani isivyo halali na kinyume na sheria lakini Obama tayari amejiandaa kumshinikiza JK kuachia ngazi mara tu NEC itakapomtawaza Dr. Slaa kuwa Raisi wetu wa tano...
Hili kidogo ni la kushangaza kwa sababu JK katika kampeni zake amekuwa akijigamba juu ya uhusiano wake wa karibu na tawala za marekani lakini hawaelewi wamarekani hao kabisa kwani hawana cha urafiki inapokuja kusimamia misingi ya demokrasia.
Ukibwaga na wapigakura wanakuhama maramoja mithili ya radi vile...................