Baada ya Nepal sasa ni Ufilipino. Maelfu waandamana kupinga ufisadi na rushwa Serikalini

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Huko Ufilipino mambo yameanza kuwa sukari kama ambavyo wiki kadhaa nyuma ilivyokuwa huko Nepal

Maelfu ya waandamanaji wameingia mtaani wakidai kwamba kuna mabilioni ya dola ya kodi za wananchi yamepotea kupitia miradi feki ambayo Serikali ilianzisha ili kudhibiti maafuriko.

Waandamanaji hao kilio chao kikubwa ni kwamba viongozi wa serikali wameiba mabilioni ya pesa kupitia miradi hiyo feki ya kuzuia mafuriko (mafuriko ya mwezi Julai) hali iliyosababisha uchumi kuporomoka huku wananchi walioathirika na mafuriko hayo kukosa mssaada

Yaani kuanzia wanafunzi wa vyuo, waumini wa makanisa, watu mashuhuri na raia kutoka vyama mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kwenye barabara za mji mkuu wa Manila na miji mingine nchini humo

Maandamano yalifanyika kwa amani kwa kiasi kikubwa, ingawa polisi wamekamatawatu 72, wakiwemo watoto 20, katika matukio mawili tofauti.

Kwa mujibu wa taarifa za polisi, maafisa 39 walijeruhiwa na trela lililotumika kama kizuizi kiliteketezwa kwa moto.

Nilikuwa nauliza tu, Malawi nywele zenu mmeshatia maji maana huko kwa wenzetu washaanza kunyolewa!

Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.




=============================================================
​
Tens of thousands of Filipinos took to the streets on Sunday to protest against government corruption after it was alleged that taxpayers have lost billions of dollars to bogus flood relief projects.

Students, church groups, celebrities, and citizens from different political camps filled the streets in Manila and other cities.

Lawmakers and officials are alleged to have pocketed huge kickbacks in exchange for contracts, while crucial projects intended to protect the country from flood damage have not materialised.

Source: The Guardian
 

Attachments

  • OzyJiyD2vSShzhE5.mp4
    4.6 MB
waTanzania?labda waandamane humuhumu jf kwani hata maandamano ya kumpinga mwenyekiti wa mtaa asiyefaa hawawezi ati!!
 
Hawa ni watu wenye hasira sana, si wa mchezo mchezo, wakiamua wameamua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…