Baada ya October 29 Vyama vyote vimeshuka zaidi Chadema pekee imebaki juu.
CCM sasa wanajulikana kwa mabaya uchawa na kudanganya sasa kuko wazi. Vyama vingine vyote kwa kushiriki uchaguzi ambao ni haramu vimejifuta kwenye mioyo ya Watanzania na hakuna Matanzania mweye akili zake atawaamini tena.
Mbatia ndiye mtu pekee amabye watu bado wana muanini ambaye yupo upinzani lakini sio Chadema. Chadema kimekuwa chama pekee kinacho elewa vijana wetu.