Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

Baada ya Ofisi za CHADEMA kuchomwa moto, tusubiri kuona kama media za nchi hii zitatangaza tukio hili

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini.

Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani, nasubiri wataripoti habari hii kwa uzito gani.

Tusubiri.
 
Mzee weka habari kamili,mbona kama unaweka majungu tu.

Maneno ya barazani haya.
 
Wasafi fm wameweka kwenye page zao tayari
 
Asee, ila tutafika tu, wasifikiri tunafumbia macho, this time we gonna make them responsible
 
Unafikiri hii post inamhusu shemeji yetu pekee? Toa taarifa iliyokamilika
 
Nachukua nafasi hii kuwapa pole wanachadema wote kanda ya kaskazini kwa hilo lilotokea na kuwataka wawe watulivu kwa hili na wajue dawa ya moto ni moto ..poleni sana
IMG-20200814-WA0006.jpg
IMG-20200814-WA0011.jpg
IMG-20200814-WA0015.jpg
 
Tunaelekea kubaya sana!! Siasa sio uadui kulikuwa na wababe nchi hii lakini washadondoka futi 6.
 
La Mbowe kuteguka mguu kwa ulevi,mkasingizia wasiojulikana hamjamaliza,mnatuletea na hili
Siasa za majitaka hazitawasaidia
kweli kumbe nyie ndio mmechoma ili mpate kiki kwenye media. bas naswashari media ziote zipuuzie ili tukio la kujitengenezea
 
Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa
Wameshawachoka na maigizo
Mmefanya kila mlichoweza ili kuivuta serikali iingie kwenye mtego wa vurugu mmeshindwa,sasa mmegeukia ofisi zenu ili muonewe huruma
Hiyo nayo itafeli mtaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe tunapoelekea,ili tu ionekane serikali inaua
Hamuwezi kwenda ikulu kwa kutumia nchi za magharibi,amkeni!!!
 
Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini.

Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani, nasubiri wataripoti habari hii kwa uzito gani.

Tusubiri.
Wanahofu watafungiwa au kuonywa kwa kutoweka habari zenye mizania!!
Ikiwa tu matangazo wanayopokea toka idhaa zingine yamekuwa kasheshe vipi wakitangaza wenyewe... waacheni wapige miziki na kuonesha filamu
TUNAJENGA NCHI!
 
Back
Top Bottom