Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwani unawajua! Kama unawajua na una ushahidi waripoti polisi.Asee, ila tutafika tu, wasifikiri tunafumbia macho, this time we gonna make them responsible
La Mbowe kuteguka mguu kwa ulevi,mkasingizia wasiojulikana hamjamaliza,mnatuletea na hiliTusubiri
kweli kumbe nyie ndio mmechoma ili mpate kiki kwenye media. bas naswashari media ziote zipuuzie ili tukio la kujitengenezeaLa Mbowe kuteguka mguu kwa ulevi,mkasingizia wasiojulikana hamjamaliza,mnatuletea na hili
Siasa za majitaka hazitawasaidia
Wameshawachoka na maigizoKwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa
Wanahofu watafungiwa au kuonywa kwa kutoweka habari zenye mizania!!Kwa tukio kama hili,natarajia media za Tanzania ziwe zimeripoti tukio hili kama breaking news, ila mpaka sasa sijui kama kuna media imefanya hivi; hata hivyo, naomba tuendelee kufuatilia coverage ya hili tukio kwa media za hapa nchini.
Media za nje bila shaka zitaripoti, ila za hapa ndani, nasubiri wataripoti habari hii kwa uzito gani.
Tusubiri.