Baada ya Papa Niang na Papaa Ndaw Kuvurunda, Dembele Akataa Majaribio

Baada ya Papa Niang na Papaa Ndaw Kuvurunda, Dembele Akataa Majaribio

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
WAKATI dirisha la usajili Tanzania linafungwa Saa 6:00 usiku wa leo, viongozi Simba SC wanaumiza vichwa jinsi ya kukamilisha zoezi hilo- hususan baada ya mshabuliaji kutoka Mali, Makan Dembele kugoma kufanya majaribio.
Dembele ametua juzi Dar es Salaam na alitakuwa kuwasili Zanzibar tangu jana, lakini akachelewa na baada ya kufika akasema hawezi kufanya majaribio anataka ‘apewe chake’ asaini Mkataba aanze kazi.
Wakala wake, Mganda Gibby Kalule alikuwa naye mchezaji huyo jukwaani Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo wakati Simba SC ikicheza mchezo wa kirafiki na Mafunzo na kushinda 3-1.
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola amesema Dembele amekataa majaribio na benchi la Ufundi limesita kucheza ‘pata potea’ kwa mshambuliaji huyo wa zamani wa JS Kabyle ya Algeria.[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mshambuliaji Makan Dembele (kushoto) akiwa na wakala wake Gibby Kalule (juu kulia) Uwanja wa Amaan, Zanzibar leo Simba SC ikimenyana na Mafunzo [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
..sidhani kwa muda uliobaki km ungemtosha kufanya hayo majaribio,win/win situation for both!
 
..sidhani kwa muda uliobaki km ungemtosha kufanya hayo majaribio,win/win situation for both!
kuna kitu nyuma ya poazia mkuu fanya tafakuri
 
Back
Top Bottom