Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Naomba kuuliza, kwa wataalamu, maana ninyi ndio wataalam.
Je, baada ya PEP naweza kutumia rapid test kujipima ama lazima niende hospitali?
Je, kati ya rapid test na uni-gold ni kipimo ganj kiko sahihi zaidi.
Nasikia kuna kitu kinaitwa 4th generation test, ndio kikoje na kinapatikanaje?
Ahsante.