Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Hicho elisa hutoa majibu siku hiyo hiyo? Kila hospitali inacho?1. Nakushauri uende hospital
2. Rapid test ni vipimo vyote vinavyotumia muda mfupi kupata majibu ya ugonjwa, hata unigold ni rapid test pia sifa yake ni kuwa ni very specific, SD bioline ni very sensitive
Vipimo vya 3rd generation hupima antibody only na ni kuanzia siku ya 21 tokea ulipopata exposure. Ndio hivyo vya SD bioline pamoja na Unigold. Huweza kugundua kwa 95% baada ya siku 28.
4th generation ambayo hupima antibody na antigen. Mfano wake ni Elisa test. Kwa kutumia hivi window period ni siku tu..
Nipo tayari kusahihishwa
Inatokea sio lazima ubanjuke hovyo hovyo mkuu.Achana na kubanjuka ovyo ovyo ona sasa madhara yake
Hata hizo Elisa ni rapid test!!Hicho elisa hutoa majibu siku hiyo hiyo? Kila hospitali inacho?
Mbona hospitali nyingi ukienda wanakupimia hizo rapid test mkuu.
Una maana kua zinatoa majibu haraka kama hizi rapid nyingine, sio?Hata hizo Elisa ni rapid test!!
Hapa Tz Elisa zipo kwenye hospital kubwa kubwa na pia kule damu salama
1. Nakushauri uende hospital
2. Rapid test ni vipimo vyote vinavyotumia muda mfupi kupata majibu ya ugonjwa, hata unigold ni rapid test pia sifa yake ni kuwa ni very specific, SD bioline ni very sensitive
Vipimo vya 3rd generation hupima antibody only na ni kuanzia siku ya 21 tokea ulipopata exposure. Ndio hivyo vya SD bioline pamoja na Unigold. Huweza kugundua kwa 95% baada ya siku 28.
4th generation ambayo hupima antibody na antigen. Mfano wake ni Elisa test. Kwa kutumia hivi window period ni siku tu..
Nipo tayari kusahihishwa
Hata hizo Elisa ni rapid test!!
Hapa Tz Elisa zipo kwenye hospital kubwa kubwa na pia kule damu salama
Mkuu ELIZA nayo ni rapid test? Wanapimaje. Ufafanuzi tafadhaliHata hizo Elisa ni rapid test!!
Hapa Tz Elisa zipo kwenye hospital kubwa kubwa na pia kule damu salama
Muhimbili Eliza, PCR DNA, RNA zote hizo ni bure.Aende LANCET Labarotories wanavyo hivyo vipimo vyote anavyotaka isipokiwa bei zake zimenoga nadhani hiyo elisa inaweza fika 160k
There are very few studies that have examined the “earliest time” you can do an HIV test after taking PEP and have conclusive results. There are some theories that taking PEP can increase the window period for testing by delaying the appearance of HIV antigen or antibodies in the blood – these have neither been proven or debunked, although evidence is weighted towards the latter.Kuna mahala niliwahi kusoma kitambo kwamba PEP zinasababisha window period kuongezeka. Hivyo mtu anapaswa awe mvumilivu hadi miezi 6 ndio inaweza leta majibu ya uhakika
Mm siifahamu Eliza mkuuMkuu ELIZA nayo ni rapid test? Wanapimaje. Ufafanuzi tafadhali
Bima wanatumia?Aende LANCET Labarotories wanavyo hivyo vipimo vyote anavyotaka isipokiwa bei zake zimenoga nadhani hiyo elisa inaweza fika 160k
Mkuu hujanijibu swali langu, elisa inatoa majibu siku hiyo hiyo? Maana ulisema elisa pia ni rapid.Mm siifahamu Eliza mkuu
Oooh, ngoja nifikirie kwenda mnh.Muhimbili Eliza, PCR DNA, RNA zote hizo ni bure.
Ndio unapatamajibu siku hiyo,kit za third generation in a detect antibody only ila kit za forth generation zinadetect antibody na p24 antigenMkuu hujanijibu swali langu, elisa inatoa majibu siku hiyo hiyo? Maana ulisema elisa pia ni rapid.
Ahsante.