Baada ya Qboy Msafi kuwakimbia wasafi*wcb*hatimaye wamemuundia zengwe la kumpa mimba denti

Baada ya Qboy Msafi kuwakimbia wasafi*wcb*hatimaye wamemuundia zengwe la kumpa mimba denti

Joined
Jan 29, 2017
Posts
61
Reaction score
66
8
d57a45e616f7e41aadb4d75b6a5201e1.jpg


Ndgu zangu wana Jf, nawasalimu kwa jina la *Tanzania ya viwanda*,hit maker wa muga cherere mr Qboy msafi hivi karibuni aliondoka na kuachana kabsa na kundi la WCB na kuanza kufanya zake nje ya label hiyo.

Baada ya kundi hili kuona nyota ya Qboy msafi inawaka baada ya ku hit na ngoma kadhaa za hivi karibuni.

Mfano ngoma ya* Karerelo*.. Sasa wamtengeza zegwe,Ati katembea na student toka pale makao makuu Dodoma na kumpa mimba, hata binti kufikia hatua ya kusitisha masomo.

Hizi nifitina za Wazi kabsa zinazofanywa na management ya WCB kwa lengo kufitini kumgombanisha kwa mashabiki wake mr. QBOY Msafi baada ya kuona sasa hit sana.

Tuwapinge vikubwa.... Wcb wanamikakati ya ovyo sana.... Yakumtafutia mty matatizo. Hii inshu imepikwa baada ya mama wa dent kuachiwa misimbazi kadhaa...

Lengo wanataka kumpoteza Qboy maana simnajua sasa hivi kumpa mimba student ni hatari ilitangazwa na mh JPm ya kwenda jela miaka 30.
 
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Kama kweli alimpa mkmba afungwe tu hamna namna,Utatembeaje NA mwanafunzi? Malaya wote hawaoni? Siku hizi hadi wasenge wapo ni chaguo lake tu, Kwanini atembee NA mwanafunzi? Rais kakemea sana , Yeye alijifanya kidume ngoja aende keko akaoneshe uanaume wake
 
Huyu alifukuzwa WCB..Na actually hakua WCB kama msanii,bali stylist wa Diamond

Hayo mengine watajuana wenyewe ila kimsingi sioni chance ya Diamond na management yake kutaka kumchafua Q Boy,huyu aliyelia mbele ya camera kutaka huruma arudishwe kundini?I don't see that chance
 
Mbona wanasapotiana kama kawaida , sio wanawake hio mpaka wanuniane na kuleteana mazengwe.

yeye mwenyewe tu na genye zake ndio zimemfikisha kwa dent, wanafunzi wenyewe malaya tu wanaruka hovyo hovyo
Umeonaeeehh

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
"endless friendship" ukiingia hutoki. oscar pretoria alipojaribu kuwakimbia alipewa kesi ya kumuua girlfriend wake
 
Back
Top Bottom