TeamKiba acheni majungu.Mgogoro wao umefikia patamu sana sasahivi ambapo kuna kampun ya nigeria inataka sasa kumchukua harmonize maana dau lao ni 10x la sasa
Mondi amejaaa harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana hata sasa kwenye mambo ya wcb haonekani
Mzushi huyo Laizer bado yupo wasafi.Laiza kasepa kwani? Ila WCB sio Harmonize utambue hilo
100%Unauhakika ama?