Baada ya Rich Mavoko na Laizer sasa ni zamu ya Harmonize kutoka WCB

Wasaniikutengana si jambo baya.

Wasaniikutengana vibaya ni jambo baya.

Tuna mifano mingi ya wasanii wanavyokuwa pamoja, kuachana. Wengine vizuri, wengine vibaya.

Peter Tosh alitoka The Wailers, akaja kufanikiwa kivyake.

Hapa nchini juzijuzi tumemzika gwiji wa reggae, Jah Kimbuteh, naye alikuwa na wanamuzikiwengi sana wa reggae aliokaa naokwa kipindi katika"Roots and Culture", wakahitilafiana, wakatengana, ila wao walikuwa wanafanya kurudi pamoja kama hawana mfarakano. Ukiangalia hata bendi kama "Vichwa Ngumu" na "Gendaeka" wanamuzikiwake wametoka kwa Jah Kimbuteh. Kina Justin Kalikawe walipata wapigaji wengi waliotoka kwa Jah Kimbuteh.

Kwenye Pop tunaona hata watu wa familia moja kama The Jackson Five walitengana kila mmoja akaendakivyake.

Juzi hapa One Direction wametengana na mwenzao Harry Styles kaanza solo career yake.

Kutengana katika kukua kimuziki si jambo baya, ila kutengena vibaya ndiyo jambo baya.
 
Madrassa tulifunzwa kua kuimba mziki Na usanii in Kazi ya shetani. Lakini ukiangalia 70% ya wasanii was bongo wakubwa Na underground no Muslim.

IPI Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao?
Hivi unajua idadi ya Muslim Tanzania wapo wangapi,JE kati ya hao Wanamuziki ni wangapi?..Usichukue ujinga wanaofanya wachache,kuwajumuisha na wengi ambao wanafuata misingi sahihi.wewe kama unachukizako na Muslim sawa sikukatazi,maana hata ukichukia hutabadilisha chochote kile, kilcho pangwa kuwa kitakuwa tu. "mvi sio busara"
 
Mnaanzaga hivi hivi halafu inakuwa kweli.
 
Habari za WBCB asilimia 98 ni kiki tu hamna lolote....mimi nimebaki tu kusikiliza nyimbo zao sio drama zao.

Hawa jamaa wanapenda wawe wanaongelewa wao tu bila kujali ni habari ya aina gani.
 
Aliyekuambia kua mm Nina mvi nani?
 
Aliyekuambia kua mm Nina mvi nani?
mkuu umenifanya nicheke,huo ni msemo huwa napendaga kuutumia.kuwa watu wanaaminikuwa wazee huwa na busara sana,sasa sio kila mzeee ana busara. ndio maana wakasema kuwa "mvi sio busara.
 
Mgogoro wao umefikia patamu sana sasahivi ambapo kuna kampun ya nigeria inataka sasa kumchukua harmonize maana dau lao ni 10x la sasa
Mondi amejaaa harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana hata sasa kwenye mambo ya wcb haonekani
We ndo msemaji mkuu wa wcb
 
Madrassa tulifunzwa kua kuimba mziki Na usanii in Kazi ya shetani. Lakini ukiangalia 70% ya wasanii was bongo wakubwa Na underground no Muslim.

IPI Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao?
Hukukosea hata kidogo, baada ya kupokea mafundisho binaadamu bado ana hiari yake ya kutii ama kutotii maelekezo a mafundisho ya imani husika kwaiyo bado kuna kazi ya maimamu, walimu na masheikh katika uislam kuendelea kuhubiri dini na mafundisho yake ili waliopotea na kujisahau ama kughafilika warudi katika njia sahihi. Mfano wa haya ni aliye kuwa msanii nguli wa mziki wa taarab mzanzibari ambae alikua ni bora kwa wakati wake katika amali hiyo ila mara baada ya kuzinduka na kuongoka akanyooka katika njia iliyonyooka sasa amekuwa akitangaza dini na kuwaita watu katika njia sahihi ya Allah subhanahu wataalaa.

Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao ni kuwajengea misingi mizuri watoto wa kiislamu ili wajekuwa waumini wanaofuata dini kwa kuielewa na ipasavyo si kwakuwa wamezaliwa na kukulia katika mifupa ya wazazi wa kiislamu na kurithi uislamu
 
Yetu macho na masikio ila harmonise akumbuke tu alipotoka akumbuke diamond alipomtoa
 
Madrassa tulifunzwa kua kuimba mziki Na usanii in Kazi ya shetani. Lakini ukiangalia 70% ya wasanii was bongo wakubwa Na underground no Muslim.

IPI Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao?
Yuda alikuwa akitembea na Yesu 24hrs akaletewa vipande vya fedha na akasaliti.

Pesa sio kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…