Baada ya Rich Mavoko na Laizer sasa ni zamu ya Harmonize kutoka WCB

WCB imejaa u CCM na Uislam wa Mujahidin full stop
Uislam na muziki wapi na wapi.. Ungesema ukafiri sawa..

Usilam u nakwambia amelaaniwa yule mwenye kujichora tattoo..
Pia wale wenye kuvaa mapambo ya kike..
 
Pumbavu mkubwa we usilete ushenzi kwenye dini za watu funga domo lako Malaya mkubwa wewe toka lini uislam ukaambatana na muziki kua na heshima
 
Mbona kila alfajiri wanaimba nyimbo zao wanatukatisha usingizi wetu? Nyimbo zenyewe mbayaaa
 
Pumbavu mkubwa we usilete ushenzi kwenye dini za watu funga domo lako Malaya mkubwa wewe toka lini uislam ukaambatana na muziki kua na heshima
Hadi msikiti umejengwa ndani ya studio. Niite Malaya iwapo unahakika kuwa Dada yako bikira na unahakika kuwa mama yako alikutana na babako akiwa bikira
 
Uislam na muziki wapi na wapi.. Ungesema ukafiri sawa..

Usilam u nakwambia amelaaniwa yule mwenye kujichora tattoo..
Pia wale wenye kuvaa mapambo ya kike..
Mambo ya walawi : Mlango 19

28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
 
Madrassa tulifunzwa kua kuimba mziki Na usanii in Kazi ya shetani. Lakini ukiangalia 70% ya wasanii was bongo wakubwa Na underground no Muslim.

IPI Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao?
Haaaaaa mkuu njaa mbayaaa
 
Ukiachwa achika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mgogoro wao umefikia patamu sana sasa hivi ambapo kuna kampuni ya Nigeria inataka sasa kumchukua Harmonize maana dau lao ni 10x la sasa

Mondi amejaaa Harmo amesema amechoka kunyonywa na ndo maana hata sasa kwenye mambo ya WCB haonekani
laizer yupo wapi now.?
 
Madrassa tulifunzwa kua kuimba mziki Na usanii in Kazi ya shetani. Lakini ukiangalia 70% ya wasanii was bongo wakubwa Na underground no Muslim.

IPI Kazi ya mafundisho ya maimamu kwa watoto wao?
Kazi ya waalimu ni kufundisha , lakini kufaulu ni juhudi za mwanafunzi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…