Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya Samia Legal Campaign, sasa hivi CCM wamekuja na hii ya kuitwa Samia Teachers kwa ajili ya kupata kura za walimu.
Hapo walimu watadanganywa kuwa wanatatuliwa changamoto zao ili walainike kuwapigia kura CCM kwenye Uchaguzi alafu baada ya Uchaguzi hii huduma itakufa na walimu wataachwa kwenye mataa.
Hii kampeni ina lengo la kupata kura za walimu tu
==================================================
Zaidi ya walimu 2,000 wamejitokeza kuhudumiwa katika Samia Teachers Clinic, mpango unaoratibiwa na CWT kwa kushirikiana na serikali kutatua changamoto za walimu.
Mkoa wa Tabora umekuwa wa 15 kupokea kliniki hiyo, ambapo Mkuu wa Mkoa, Paul Chacha, amesema inatoa suluhisho kwa madai ya walimu, ikiwa ni juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Afisa Utumishi Mkuu, Judith Abdallah, amesema serikali imejipanga kushughulikia madai ya walimu, huku Rais wa CWT, Leah Ulaya, akisisitiza ushirikiano kati ya chama na serikali ili kuharakisha utatuzi wa changamoto hizo.
Source: Zanzibar Mpya