peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanesco watabishaMkono mtupu haulambwi..
Mkuu waweza kukuta surveyors wapo Ila wameamua kutengeneza uhaba wa huduma ili rushwa itembee.Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa rushwa na ukiritimba mkubwa ili kupata umeme wa Tsh 27,000. Cha kushangaza graduates wamejaa mitaani Ila surveyor wa tanesco ni wawili mkoa mzima. Tunaomba waziri mwenye dhamana na wizara ya nishati, atembelee ofisi ya tanesco mkoa wa Kilimanjaro ajionee maajabu.
Hahahaha.....wamejaa watu pale wanarithishana shirika tu unakuta bibi na wajukuu zake wote wapo Tanesco kama ilivyo bandari na NSSF
Mimi hiyo naona haita saidia. Dawa kuwe na shirika zaidi ya moja la kusambaza umeme.Mkuu waweza kukuta surveyors wapo Ila wameamua kutengeneza uhaba wa huduma ili rushwa itembee.
Dawa sio kumkumbuka marehemu, dawa ni kuwaripoti tu wapuuzi sana. Tanesco ingehamishiwa wizara ya ulinzi isimamiwe na wajeda watupu.
Yani waweke Mkurugenzi injinia mjeda, mpaka makuli wa kuweka nguzo wachukuliwe JKT tatizo lingeisha Ila wamejaa watu pale wanarithishana shirika tu unakuta bibi na wajukuu zake wote wapo Tanesco kama ilivyo bandari na NSSF
Tatizo ni miundombinu how will they share? Unakuta kampuni moja inasupply kwa umakini lakini watatumia miundombinu gani ili iwe independent?Mimi hiyo naona haita saidia. Dawa kuwe na shirika zaidi ya moja la kusambaza umeme.
Tafadhali tumepokea taarifa kwa hatua zaidi, je unapata changamoto gani? Wilaya na namba ya simu tufanyie kazi taarifa zakoBaada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa rushwa na ukiritimba mkubwa ili kupata umeme wa Tsh 27,000. Cha kushangaza graduates wamejaa mitaani Ila surveyor wa tanesco ni wawili mkoa mzima. Tunaomba waziri mwenye dhamana na wizara ya nishati, atembelee ofisi ya tanesco mkoa wa Kilimanjaro ajionee maajabu.
0689877735, Rushwa imekidhiri, surveyor ni wawili tu wilaya nzima, ukiritimba mkubwa, kitengo Cha surveyor kimekuwa miungu watu, meneja hahihusishi na kitengo hicho .Tafadhali tumepokea taarifa kwa hatua zaidi, je unapata changamoto gani? Wilaya na namba ya simu tufanyie kazi taarifa zako
TANESCO huduma kwa wateja
MAKAO MAKUU
Tumepokea.taarifa kwa hatua zaidi tafadhali0689877735, Rushwa imekidhiri, surveyor ni wawili tu wilaya nzima, ukiritimba mkubwa, kitengo Cha surveyor kimekuwa miungu watu, meneja hahihusishi na kitengo hicho .
Mnachelewa sana kuchukua hatuaTumepokea.taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Ndugu mpendwa Mteja wetuMnachelewa sana kuchukua hatua
Mwaka jana kipindi kama hichi kuna nyumba Moshi (H) walituma maombi ila mpaka leo surveyor hawajaenda ila kuna nyumba zinajengwa kabla hata hazijamalizika wanafungiwa umeme na unakuta wanatumia hata zaidi ya nguzo tatu.
Hata kama ni rushwa ila mwaka mzima bila response ya huduma it's so shameful
Mimi nilikwenda kufuatilia huduma ya kuunganishiwa kwa bei ya elfu 27 pamoja na nguzo kutolewa bure kwa kadri ilivyoelekezwa na Waziri.Tumepokea.taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Hata kule Mabungo Kilindini,Himo paangalieni. Kuna hujuma kubwa na inasemekana,umeme mnawapa wastaafu tyu kupitia siasa za mwenyekiti was mtaa. Mnakwama wapiTumepokea.taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Watumishi wa serikali ni wakuwaonea huruma tu!!kila sekta hawatoshi, pesa nyingi za nchi hii zinaliwa na wana siasa tu!!halafu kwa hali hiyo ataibuka mwanasiasa nakuja kutoa tamko kuwa anataka ndani ya wiki moja wote wanaohitaji huduma ya survey, wawe tayari ili wakalipie!!bila huangalia rasilimali watu wa kufanya kazi hiyo!!ndio maana sasa jeshi la polisi sasa limekuja na sera ya ulinzi jamii kwa nchi nzima kwani hawawezi kuwa na askari kila sehemu.Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa rushwa na ukiritimba mkubwa ili kupata umeme wa Tsh 27,000. Cha kushangaza graduates wamejaa mitaani Ila surveyor wa tanesco ni wawili mkoa mzima. Tunaomba waziri mwenye dhamana na wizara ya nishati, atembelee ofisi ya tanesco mkoa wa Kilimanjaro ajionee maajabu.
Hahaaaa!!hiyo 27, 000 ni kwa wale tu ambao hawahitaji nguzo ili kufikiwa na umeme.yaani nguzo unayotaka kuchukulia umeme iwe ndani ya mita 30, hivyo wanakuja kukuvutia tu waya.ila kama una kuna nguzo inayohitajika bei ni zile zile za zamani zilivyokuwa.tatizo la wana siasa wanapotoa matamko huwa hawataki yawe wazi ili mwisho wa siku mtendaji ndio aonekane ana matatizo kwa anaowahudumia.Tanesco makao makuu mnapaswa kutoa ufafanuzi wa kina kwa uwazi kabisa... hilo swala la elfu27... bado lina utata... kwa ss wateja na ofisi za Tanesco wilayani mfano Lushoto... kuna hiyo changamoto haswa pale unapohitaji nguzo iwe moja, mbili au tatu..... Tunaomba tamko rasmi lenye details au wekeni pia kwenye website nyenu.