joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Uhuru dims plan to build refinery for Kenya crude
President Uhuru Kenyatta said Sunday that Kenya would use the Lamu Port to export crude from the Turkana oil fields, dimming plans of building a refinery at the facility.
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza rasmi kwamba, Kenya haitojenga kiwanda cha kusafisha mafuta yake kutoka Turkana(crude oil refinery) badala yake watasafirisha mafuta hayo kama "crude", kutokana na uchache wa mafuta yaliyogunduliwa.
Hili ni pigo lingine kwa majirani zetu katika miongoni mwa mapigo Mengi yatakayotokea kutokana na mipango mibovu Sana ya nchi yao. David Ndii amekua akiwapigia sana kelele kutokana na kuanzisha miradi bila kuangalia " economic viability" badala yake wanatumia political emotions.
1)Bomba la mafuta la Uganda
2)Bomba la mafuta toka Turkana
3)SGR
4)BRT
5)Ukuta katika mpaka na Somalia
6)5 big modern stadia
7)Laptop per child
8)Super highway Mombasa to Nairobi
9)Crude oil refinery
10) Next please........