Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao.
Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo kwao Amani ilikuwa kumsaidia binadamu kuwepo hapo alipo wakipambana na wakosoaji.
Karma is there, wanaweza wakadhani viapo vyao vya Dini nivyakidunia lakini Mwenyenzi Mungu ataanza kuwakumbusha warejee kwake. Dkt. Malasusa na viongozi wengine wa Dini walioongozwa na Paulo yawapasa kukiri sirini au adharani. Mlikosa Sana, mlikosa Sana. Mlikosa Sana.
Kuondolewa kwa Shekhe Mkuu wa DSM ni ishara kwamba sasa mliowatesa nao wanapanga safu zao kwenye nyumba za ibada. Mlioshindwa kuwasemea Zama zile Leo hii nao wanatafuta pakuwasema. Jiandaeni kisaikologia. Tubuni