Baada ya siku 28 za PEP

bCg

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
438
Reaction score
900
Post-exposure prophylaxis ( PEP) ni dawa za kuzuia maambukizi ya VVU,nilianza kumeza tarehe 18/1/2014,nilienda kupima tarehe 23/2/2014.
Nikakuta sina maambukizi lakin bado sijiamini Hivi mnaojua ni mpaka tarehe au siku ya ngapi ninaweza kupima na nikapata majibu agalau sahihi jamani nipo njia panda...
 
Inaonekana bado upo kwenye denial phase ya shuld accept now kwamba ya clean
Evidence based medicine inasema kama utatumia pep accordingly uwezekano wa seroconvertion ni mdogo sana maana pep ni effective
Pia sababu hasaya wewe kuanza pep ni gani? Yawezekana ata exposure haikua significant maana tumekua tukitumia pep just umecome in contact boby body
Tuseme kwa mfano hizi suturing needle ziko pointed na hazina hollow window inside uwezekano wa z enyewe kupelekea maambukiz ni mdogo incospiquous
Lakin what we say dont take anything for grant
Al n al pole kwa mwezi mzima wa pep
Accept the challenge
Go n re check after 3/12
Believe me ya healthy b4 ya chek
 

nilitumia kwa siku 28
 
Matapeli wanaifagilia dawa yao feki ya UKIMWI. hamumpati mtu hapa. pelekeni kwenu kwani nani kawaambia kuna waadhirika humu. tumewastukia
 
Ndugu kwa nini hujatumia uzi ulioandika mara ya kwanza?
Maana kule kulikuwa na maswali mengi yakuhusuyo tukihitaji kufaham mambo mengi sana.
 
Ndugu kwa nini hujatumia uzi ulioandika mara ya kwanza?
Maana kule kulikuwa na maswali mengi yakuhusuyo tukihitaji kufaham mambo mengi sana.

kwer kunauzi lkn niliahidi mara baada ya physical & mental stability nitaleta sitori yote kutumi uzi wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…