GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili.
Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada FC) na kushusha hasira zetu, yafuatayo yataanza kujiri. Na kwakuwa wameshatujua kuwa ni majuha (mambumbumbu) sote tutasahau machungu ya haya matokeo na kuendelea kuunga mkono uongozi wa hovyo, wezi na wa kinafiki wa Simba SC.
1. Tutangaziwa Kocha Mkuu mpya mbovu.
2. Wahariri wa magazeti makubwa ya michezo nchini Mwanaspoti na Championi watapewa bahasha (hongo) ili wafululize kuandika habari za uzushi na uongo za kusajiliwa akina Adebayor, kurejea kwa Miquissone na Ceaser Lobi Manzoki.
3. Udhamini mpya na mnono kwa Klabu.
Yanga SC ni bingwa tena 2022/2023 katika Second Edition ya NBC Premier League na atakayenibishia hili GENTAMYCINE akapimwe akili upesi Milembe (Dodoma) au Lutindi (Tanga) ili aanze haraka matibabu yake.