Baada ya Simba SC Kuchemka kwa Mbeya City FC leo tegemeeni yafuatayo ili kuwazuga mashabiki wa Msimbazi

Ukiwa boya wa mpira lazima uwaze kuwa wengine wamechelewa... msimu huu mmoja ndio uwatoe wengine??
 
Kwanza tukubaliane Simba haiwezi kuchukua ubingwa mwaka huu, tutazame ni jinsi gan tutacjukua ubingwa mwakani.
Lapili. Simba tunapita kulekule walikopita yanga misimu minne tuliyochukua ubingwa, yanga walikuwa na tabia hihii ya malalamiko kuwa wananunua mechi, ooh timu pinzani zinaikamia yanga kuliko Simba. Lakini wakaachana na huo ujinga wakawekeza kwenye mbinu za kimpira, ikifika Mahali wakatimua karibu timu nzima, Sasa tunaona unbeaten 47.
Tatu. Usajili wa kijanja janja. Wakati yanga wanatumia pesa nyingi kwenye usajili kiasi cha kushindwa kwenda pre-season nje ya nchi tuliwacheka sana lakini unasajili watu ilimradi alafu unatumia pesa nyingi pre-season nje ya nchi SI ni ujinga huo. Much better ukatazama usajili zaidi kuliko kutazama pre-season zaidi. Simaanishi pre-season Haina maana lakini usajili wa wachezaji Bora ni muhimu kwanza alafu ifuate hiyo pre-season.
 
Well said
 
Sioni tatizo la Sacko na Onyango ila hao wengine hawana viwango vya kuchezea Simba ila wapo hapo kwasabab ni wachezaji wa bei rahisi ambao unaweza kuwalipa mshahara wa chini ya milioni 6

Kinachoisumbua Simba kwasasa ni ubahiri tu

Kule upande wa Yanga hawana hayo mambo na wata dominate sana chini ya Hersi
 
Mpira ni sawa na maisha..kuna kupanda na kushuka..kuna kulia na kucheka..ukilifahamu hili au ukiwa umepitia kwenye hali kama hiyo huwezi kuwa mtu wa kulalamika na kutupia watu lawama.
Simba daima.
 
Hapo ndo utaona aliyesema mwekezaji hasiwe mmoja wawe wengi kuna Jambo alikuwa anaona mbele
 
Mkuu upo sahihi, nina wasi wasi hata nafasi ya pili hatupati msimu huu , itachukuliwa na Azam
Hili si la Kuuliza Mkuu Yanga SC Bingwa, Azam FC wa Pili na Sisi Simba SC ( Mbumbumbu Ngada Kolo FC ) ni wa Tatu.
 
Na hata 'Nikikuweka' pia bila Kofia 'Maalum' ya WHO Utanilipa au?
Sasa wewe popoma, mimi nimejitolea kukulipia kila kitu, pale utakapokuja Lutindi kwenye matibabu ya afya yako ya akili! Maana sipo mbali sana na hiyo hospitali!

Badala ya kukubali, na kuonesha wewe ni mtu wa shukrani! Maana utalipiwa kila kitu! Wewe unaleta ujeuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…