Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Baada ya sie wakimataifa kumpapasa mwigulu na team yake.. sasa anaefuatia ni huyo mbumbumbu na yule kocha wao mwanamieleka hatari hulk Hogan!! Tarehe 30 sio mbali sanaaa.. halafu ole wenu mng'oe viti nyie mbumbumbu..