Baada ya stress za siasa na Maisha, tupia kijipande Cha mziki, video, au picha ukielekeza kwa umpendaye hapa JF

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Wana bodi JF,

Tupia clip ya audio, video au picha iletayo faraja, kicheko au tabasam ukisindikiza kwa na ujumbe mwanana mahususi kabisa kwa yule ulie muona Leo akiwa stressed na siasa za hapa Bongo na Maisha!

Mwisho wa siku lazima Tabasam liludi na kujisahaulisha yaliyojir Leo!!

Karibun wadau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…