GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Genta wewe mpira unaujua sina Shaka na wewe. Lakini CCM inavyojitahidi kuua Kila kitu nchini ndivyo inavyofanya kwenye soka Kwa Sasa. Hata CAFCL na CAFCC walipokuwa wanatoa 5m na kisha 10m lengo haikuwa hamasa bali kampeni za kisiasa. Yanga ingechukua Kombe ingeonekana ununuzi wa magoli ndo chachu."Tumeweka historia kwa mara ya kwanza Tanzania (Taifa Stars) kutolewa AFCON na kupata alama mbili kwani huko nyuma haikuwa hivyo," amesema Chawa Mwandamizi wa Mama aitwae Mwijaku.
Chanzo: Leo Tena ya Clouds FM hivi punde.
GENTAMYCINE nilikuwa sijaelewa kumbe pesa zote zilizochangwa, Hamasa kubwa na Serikali chini ya Rais Samia na kuwapigia kote kule simu Lengo Kuu lilikuwa ni Tanzania (Taifa Stars) kumaliza na Alama (Points) mbili tu?
Ninachukia mno watu wapumbavu.