KIBOD3 Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 151 Reaction score 228 Sep 14, 2016 #1 Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu"
Losser Bad JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 584 Reaction score 1,346 Sep 14, 2016 #2 Hiyo inaitwa Nako to Nako.
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Sep 14, 2016 #4 Mbwa kala mbwa
M MTENDAHAKI JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,013 Reaction score 1,447 Sep 14, 2016 #5 hahahahahaaa
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Sep 14, 2016 #7 Bata kala bata
M mondeboy New Member Joined Sep 8, 2016 Posts 2 Reaction score 3 Sep 14, 2016 #8 Ngadu kwa ngadu hiyo!!
shushushu_mchokozi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 405 Reaction score 265 Sep 14, 2016 #9 Hahahahahaaaa
Francis Mawere JF-Expert Member Joined Nov 17, 2015 Posts 958 Reaction score 831 Sep 14, 2016 #10 Dawa ya Moto ni Moto, Mwaga mboga tumwage Ugali.
FREE LUNCH JF-Expert Member Joined Nov 21, 2014 Posts 495 Reaction score 334 Sep 14, 2016 #11 The world is not fair, I can't be fair. Jino kwa jino...
Punnisher JF-Expert Member Joined Jul 28, 2014 Posts 1,169 Reaction score 1,376 Sep 14, 2016 #12 Hiyo noma Punnisher[emoji111]
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Sep 14, 2016 #13 Makubwa haya..! Sin kifua cha kuyabeba haya..!
Rooney JF-Expert Member Joined Jan 16, 2015 Posts 3,781 Reaction score 3,931 Sep 14, 2016 #14 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] swaaaafi swadaktaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] swaaaafi swadaktaaa
displayname JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 1,972 Reaction score 1,085 Sep 14, 2016 #15 Tit for tat hiyoo!
brigedia mafia JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 2,260 Reaction score 2,279 Sep 14, 2016 #16 Fid Q kaimba "Akikupiga ngumi ya skio na wewe mpige ngumi ya jicho, akikuuliza unajiskiaje na wewe muulize unaonaje"
Fid Q kaimba "Akikupiga ngumi ya skio na wewe mpige ngumi ya jicho, akikuuliza unajiskiaje na wewe muulize unaonaje"
McFerson JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 2,166 Reaction score 2,322 Sep 15, 2016 #17 namwona mama mtoto akikaa dakika tatu bila kupiga kope wala kuangalia pembeni baada ya kuisoma sms
jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,365 Sep 15, 2016 #18 Wanaume ni kiboko..
Sanity Senior Member Joined Aug 18, 2016 Posts 153 Reaction score 102 Sep 15, 2016 #19 Hela bandia cheni bandia,
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Sep 15, 2016 #20 dingi kaua