Kwenye slip 2M. Wewe hiyo 15 elfu umeikokotoa vipi?NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya m2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato.
Majibu niliyopewa ni kuwa sasa hawatoi statement mpaka watakapo pokea maelekezo toka juu.. hivyo nitaendelea kukatwa labda baada ya mwezi july watakapoanza kutoa statement. Hii imeniuma sana na kujion, naomba kama kuna mwenye mawazo tofauti katika hili
Muone bosi wako.NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya m2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato.
Majibu niliyopewa ni kuwa sasa hawatoi statement mpaka watakapo pokea maelekezo toka juu.. hivyo nitaendelea kukatwa labda baada ya mwezi july watakapoanza kutoa statement. Hii imeniuma sana na kujion, naomba kama kuna mwenye mawazo tofauti katika hili
Kwenye slip 2M. Wewe hiyo 15 elfu umeikokoto
Mkuu deni mara ya kwanza liliingizwa kimakosa, baada ya mimi kwenda bodi kulalamika nikarekebishiwa. Na hapa nina statement ya march 2021 inayoonesha deni langu likielekea ukingoni, so baada ya leo kwenda kuomba statement nilipe ili wanipe notification HR asitishe makato naambiwa siwezi kulipia mpaka watakapoanza kutoa statementKwenye slip 2M. Wewe hiyo 15 elfu umeikokotoa vipi?
Hiyo haijakaa sawa kabisaMkuu deni mara ya kwanza liliingizwa kimakosa, baada ya mimi kwenda bodi kulalamika nikarekebishiwa. Na hapa nina statement ya march 2021 inayoonesha deni langu likielekea ukingoni, so baada ya leo kwenda kuomba statement nilipe ili wanipe notification HR asitishe makato naambiwa siwezi kulipia mpaka watakapoanza kutoa statement
Can't wait. Mzigo umetoka Mil 18 huu. Ile kitu kitamu wakati wa kula tu.Ikifutwa deni limeisha hilo na chenji unawaachia kabisa
Hao wafanyakazi hawamuogopi Mama, ndiyo maana wanajivuta sana kutekeleza maagizo yake papo kwa hapo! Ingekua kwa uncle Magu wenyewe wangenyooka!!NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya m2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato.
Majibu niliyopewa ni kuwa sasa hawatoi statement mpaka watakapo pokea maelekezo toka juu.. hivyo nitaendelea kukatwa labda baada ya mwezi july watakapoanza kutoa statement. Hii imeniuma sana na kujion, naomba kama kuna mwenye mawazo tofauti katika hili
duhοΌ sijapunguza hata mia yaani.. na sijui itakuwa nadaiwa.shilingi ngapi, nakumbuka walinitumiaga tumiaga vi message naona wamechokaCan't wait. Mzigo umetoka Mil 18 huu. Ile kitu kitamu wakati wa kula tu.
Weee bora ujipeleke. Maana usikute mnasubiria msamaha wa Madame.duhοΌ sijapunguza hata mia yaani.. na sijui itakuwa nadaiwa.shilingi ngapi, nakumbuka walinitumiaga tumiaga vi message naona wamechoka
ππππ sio wote lazima tulipeWeee bora ujipeleke. Maana usikute mnasubiria msamaha wa Madame.
Kuna wabunge hawajalipa na wanalipwa Mamilioni.ππππ sio wote lazima tulipe
siku nikipata ajira nitalipa πππKuna wabunge hawajalipa na wanalipwa Mamilioni.
Wapo sahihi hasa kama hiyo retention fee ipo kwa mujibu sheria. Tamko la Rais halibadilishi sheria. Ni mpaka serikali yake ipeleke mapendekezo ya kubadilisha sheria bungeni na yapite.NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato.
Majibu niliyopewa ni kuwa sasa hawatoi statement mpaka watakapopokea maelekezo toka juu hivyo nitaendelea kukatwa labda baada ya mwezi Julai watakapoanza kutoa statement.
Hii imeniuma sana na kujion, naomba kama kuna mwenye mawazo tofauti katika hili.