ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hii ni part ya initiative ya kutatua hiyo shida ππChangamoto za ajira za walimu hazijatatuliwa bado......
Ndio ujenzi umenza Sasa kama hutaki hamia Kundustan ukapande Sgr ya umeme π€£π€£Yani unaizungumzia hii bongolala ya simba na yanga ikabato na Kenya labda kwenye maandishi
Ndivyo wanafanya hata sasa,Kuna miradi chungu mzima huko ππIngependeza Arusha nayo waihangaikie na kuishughulikia kama wanavyoifanyia Dodoma, kimazingira na kimiundombinu.