Baada ya Tatizo langu la kukosa choo kuendelea nimepata suluhisho hili

Soft Guy

Member
Joined
Dec 18, 2023
Posts
64
Reaction score
149
Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya nimeshiba lakini najua naumwa.

Lakini Dua zangu zimejibiwa na sasa nimepata suluhisho na suluhisho ni hili:Kila Jumamosi usiku nitakuwa nameza tembe Kumi ya dawa za Bisacodyl za kuharisha taka taka zote za wiki nzima na nitafanya hivi mpaka ntakapopata mkombozi wangu.
 
Pole sana inaonwkana umeoata msongo wa mawazo ghafla.kuharisha sio solution tafuta tiba ya kudumu ya uhakika,kunywa juice ya ukwaju
 
Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya nimeshiba lakini najua naumwa.

Lakini Dua zangu zimejibiwa na sasa nimepata suluhisho na suluhisho ni hili:Kila Jumamosi usiku nitakuwa nameza tembe Kumi ya dawa za Bisacodyl za kuharisha taka taka zote za wiki nzima na nitafanya hivi mpaka ntakapopata mkombozi wangu.
Kula kisamvi na mtindi plus embe
 
Bisacodyl ni mkombozi sana...tembe kumi nyingi sana mkuu!!

Piga menu kama kawa ila kila siku baada ya chakula cha usiku meza tembe mbili na maji mengi...asubuhi unaflash kirahisi wala sio kuharisha utapona mkuu
 
Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya nimeshiba lakini najua naumwa.

Lakini Dua zangu zimejibiwa na sasa nimepata suluhisho na suluhisho ni hili:Kila Jumamosi usiku nitakuwa nameza tembe Kumi ya dawa za Bisacodyl za kuharisha taka taka zote za wiki nzima na nitafanya hivi mpaka ntakapopata mkombozi wangu.

Pole sana.

Ni vyema ukaenda hospitalini ili ufanyiwe uchunguzi na vipimo ili kubaini kisababishi cha tatizo la kukosa choo na kukishughulikia, dawa utatumia mpaka lini? Ni vyema kisababishi kikajulikana na kukishughulikia.

Pia aina ya vyakula unavyokula huweza kuchangia kukosa choo pamoja na kukaa muda mrefu bila kula (ili kitoke ni lazima kuwe kuna kitu kinachoingia)

Kila la kheri.
 
Nimekuwa nikiteseka na Tatizo la kukosa choo wiki mbili Hadi tatu mfululizo na ndiyo maana mchana Huwa napiga pasi ndefu na watu wengi Huwa wananishangaa kwanini sili mchana naishia kuwadanganya nimeshiba lakini najua naumwa.

Lakini Dua zangu zimejibiwa na sasa nimepata suluhisho na suluhisho ni hili:Kila Jumamosi usiku nitakuwa nameza tembe Kumi ya dawa za Bisacodyl za kuharisha taka taka zote za wiki nzima na nitafanya hivi mpaka ntakapopata mkombozi wangu.
Pole sana mkuu kwa hiyo changamoto ila nashauri uwende hospital kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na vipimo zaidi kuliko kutumia dawa kila siku,,pole sana.
 
Nakushauri achana na hiyo dawa na ujaribu haya.
1. Chakula ndio mchawi wako namba moja. Punguza matumizi ya vyakula vya wanga na Ngano. Mfano wa vyakula vya wanga ni kama Wali. Mfano ngano ni vitu kama chapati, maandazi. Hapa nakushauri kwa asubuhi ukiweza tumia matunda ya kukatwa yale ya mchanganyiko ya buku buku. Mchana kula ugali wa dona na udaga na mboga za majani nyingi sana.
2. Kunywa lita mbili za maji kila siku. Hili fanya kuanzia ukiamka mpaka jioni. Usinywe maji usiku.
3. Tafuna karanga mbichi robo kilo kila siku huku ukisindikizia na ndizi mbivu. Hii robo igawe mara 3. Baadhi unatafuna asubuhi, jioni nyingine una malizia usiku. Huku ukiwa unasindikizia na ndizi kila utafunapo. Hii ni mbadala mzuri sana wa bisacordyl. Ukiona maendeleo yanakuwa mazuri punguzs dozi maana hii inaweza kukufanya uhalishe.
4. Fanya mazoezi ya kukimbia. Kama huwezi jitahidi utembee angalau nusu saa kila siku. Kama unafanya kazi za kukaa, huu ndii unaweza kuwa uchawi mwingine.

Naandika haya kama mtaalamu wa afya, Ukinisikiliza itakusaidia.
 
Back
Top Bottom