Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
37,226
Reaction score
26,687
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada.

Hii imekuja siku chache baada ya Shilole kuwashukia wanaomsema vibaya mpenzi wake kuwa ni mtoto, anambembenda kwasababu wapo kama mtu na mwanae,mara kijana anapenda kulelewa.Ndio Shilole alijibu kuwa huyo si mtoto kwani mapenzi anayompa chumbani ni mazito na angekuwa mtoto asingekuwa analilia mapenzi bali angekuwa analilia nyonyo kwa mama ake.

Baada siku kadhaa ndio kijana huyo akaibuka na tatoo ya hiyo kudhihirisha mapenzi kwa mwanadafada huyo. Hii ni tatoo ya pili Nuhu kujichora baada ya ile ya kwanza yenye jina la ShishiBaby.

Btw hatuombei waachane ila siku wakiachana sijui itakuwaje?

attachment.php
 
I actually don't see anything wrong with it but not if your together for like 3-4 years i mean if you've been together for a long time then i don't see why you can't get the person you love's name on you. I don't like what this worlds coming to, no real love anymore...
 
ningemuona ana akili angechora ya mama yake...ila ya mwanamke mh?mapenz hayaeleweki n hayana mwenyewe anything can happen anytime af tatoo zenyewe n permanent..dah kweli wanawake tuna nguvu ya kumteka mwanaume tang enz za samson na delila..
 
mwanzo si alifukuzwa huyu! wakarejeana, sasa kama ile ilikuwa elnino asubiri sunami.
 
Ni uboya huu mkiachana itakuaje naye mziwanda asijikute kampenda Sana huyu mzazi wa mtu..
 
I actually don't see anything wrong with it but not if your together for like 3-4 years i mean if you've been together for a long time then i don't see why you can't get the person you love's name on you. I don't like what this worlds coming to, no real love anymore...
Jambazi vipi wewe ulishachora????
 
Last edited by a moderator:
Hawana ishu town kwa sasa. Naona wanatafuta atention
 
Msichana mwenyewe huyo haeleweki hiv kweli shilole hamegwi nje
 
ningemuona ana akili angechora ya mama yake...ila ya mwanamke mh?mapenz hayaeleweki n hayana mwenyewe anything can happen anytime af tatoo zenyewe n permanent..dah kweli wanawake tuna nguvu ya kumteka mwanaume tang enz za samson na delila..

Kwani mama yake sio mwanamke?
 
Back
Top Bottom