Baada ya Tatoo ya Jina, Nuhu Mziwanda achora tatoo yenye sura ya Shilole

hako katoto katakua ni kajanja hyo ndio means aliyoichagua ili amchune huyo dem vizur. ukute hapo hata hajapagawa na hilo penzi wala nn. Ukiwa mvivu wa kufanya kazi lazima uwe mbunifu kama yy anavyomchuna hyo dem. Mjini hapa

Kweli kanaweza kakawa kametumia akili kuishi mjini!
 
Sie tunawasikilizia tu siku wakimwagana na hivi Shilole hua hafichi kitu,au anaona sifa hizo tattoo ninii
Wachekaji tupo tu mwanzo mwishooo kwa hiyo Nuhu ajiandaee

Mara mtasikia dinazarde ana tatoo ya lolowapi shingoni kama ya wema.
 
Yani huwa nakaonea huruma maana naona ugumu wa maisha au kutaka mambo makubwa ndio unamfanya awe vile.Hata hilo apple mpaka hela apewe na bi mkubwa
hahahah yaan umenichekesha Sana .lkn si nimwanamuziki yule au muziki haujamtoa?
 
Kuna watu wana kera huyu jamaa siku ya ijumaa alinikera sana! Halafu nimegundua anahitaji kuongelewa ndio maana! Yani ndugu zake wanalia kila muda unaweza kukuta!

Halafu kakasema kanategemea kumvisha Pete Shilole soon!

Hahahahah..petee???aisee sasa hapo kanaota ndoto
 
How old is that Serengeti Boy Mziwanda? Is he not Shilole's child age mate?
 
toto jinga sana hilo!" bora baba yake angemtolea bafuni tu ..........

Grand PA
 
mjn mipango,atafute saiz yake il kla cku aombwe hela.mara ya kwenda salun mara nauli ya chuo,nuh ameona mbal
 
Naona 0713 ya shishi beybee imemkolea hadii kaamua kujichola duuh!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…