Baada ya tendo akasema namchafua!

Baada ya tendo akasema namchafua!

Tumbili wa mjini

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2024
Posts
1,125
Reaction score
2,233
Naam ni kama miaka miwili imepita nikiwa na mtoto wa chuo Mimi pia nikiwa chuo tafauti, mtoto nimezama nae penzini baada ya kama kukutana kwenye sita kwa sita kama mara nne siku Moja mtoto akanitumia message akisema "unanichafua tu sitaki kufanya na wewe mapenzi,

Fanya mazoezi uume wako umelegea" , dah nilikoswa na pozi ikanibidi nijikaze siku nyingine amekuja getoni (a.k.a machinjioni) Akala chips na kuku nilivyomuomba shoo akagusa kwenye langu alafu akasema nifanye mazoezi bado limelegea niliumia sana na tukaachana
 
images (7).jpeg
 
Back
Top Bottom