Baada ya tendo akasema namchafua!

Unataka sie tufanyeje? Fanya mazoezi tu na usitongoze hovyo wakati unaenda kuchafua tu mabibi za watu wengine
 
Kaguse wa mwanaume mwingine kwanza uone ulivokaza ndo ukafanye mazoezi kufikia hizo level maana nayeye si alikugusa kwanza kabla ya kukupa majibu🙂
 
Kaguse wa mwanaume mwingine kwanza uone ulivokaza ndo ukafanye mazoezi kufikia hizo level maana nayeye si alikugusa kwanza kabla ya kukupa majibu🙂
Ha ha haa
Kayataka haya matusi.
Kautaka umaarufu JF na post za ajabu.
 
Umeua kila kitu mkuu...

hivi Vitoto vilivyo toroka shule vinapenda sana kujipachika usomi ilhali ni viuza juice ya ukwaju kituo cha daladala.
Kwanza Tumbili wa mjini ni muongo asiye na kumbukumbu, kuna uzi anadai anatafuta mwanamke wa kuzaa nae, atamlipa milioni tano, uzi mwingine katunga simulizi anadai watu wamtumie vocha ndo aendelee na simulizi, sasa unajiuliza, mtu mwenye uwezo wa kutoa milioni tano, anawezaje kuwa na njaa njaa za kuomba visenti vya vocha kwa umma? Hizo story zinaendana kweli?
 
kakuambia ukweli
 
Members mmempopoa mtoa mada hadi raha, mtu kama hudindishi si ukatafute tiba huko, lasivyo hata huyo demu wake aliyenae sasahivi, marijali tukimgongea tu, anahamia kwetu mazima. Kama hela huna, na nguvu za kiume huna, busara huna, unafanya nini sasa hapa duniani.
 
Geto unaliita machinjioni afu bado huwezi kuchinja 😂 mpaka mchinjwaji anatoka akiwa hai 😂 tafuta msasa unoe hicho kisu
Mchi jaji asiyejua kutumia kisu chake kuchinja effectively mpaka mchinjwaji kulalamika🤣🤣
 
Acha kupiga nyeto, acha kuangalia video za ngono fanya mazoezi sanaa kula Kwa afya then soma Kwa bidii tafuta pesa.
Umeongea ukweli, kama hilo tatizo angepata mzee, tungesema magonjwa mbalimbali yamesababisha, ila kwa kijana, shida inakuwa ni matatizo ya kisaikolojia kutokana na changamoto za kijamii zinazomkabili mtu, zihusianazo na kutokuwa na hela.

Ukipata hela nguvu za kiume zinakuja zenyewe hadi utatamani utafute dawa ya kuzipunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…