Baada ya tendo la ndoa


Wengi hatukua tunajua hili.Asante RR.
Nina hakika wangejua basi matendo mengi ya ngono-zembe yangepungua kama siyo kuisha lol!Mtu anakurupuka huko anabaka hajali hata madhara kitendo kizembe vile.MHH!
 

ukizini mara nyingi hiyo hali ndo hutokea hasa kujilaumu,lakini kama ni mkeo wa halali hamna kitu kama hicho.USHAURI acha kuzini.
 
mbio za sakafuni huishia ukingoni, na ukisha piga bao ndiyo ukingo wenyewe..
 
mbio za sakafuni huishia ukingoni, na ukisha piga bao ndiyo mwisho wa mbio zenyewe..
 

We utakuwa mgonjwa!
 
Your explanation cuts across all fields-, it is scientific, psychological and social. Energy spent-scientific, the act itself-psychological, social- expenses incurred in terms of time, monies etc.

Kuwa under-age siyo factor mojawapo kweli?
 
Pamoja na maelezo mazuri ya RR, hofu ya Mungu iliyo ndani yako ndo inakusumbua. Waulize waliooa uone kama wanapata shida kama yako, manake ni halal! Mungu akusaidie uachane na uzinzi kabla hujakutana na hukumu.
 
Kuna demu alinibore, baada ya kumaliza ki.to.mbo si akaanza kunifuta na boxer yangu bana!!!
 
Afu unakosea sio tend la ndoa! We sema Kama nlivosema hapo juu!!
 
duhhhhh
tuanajifunza mengi..

Wanaume endeleeni kusema huwa mnafikiri nini tu
baada ya sex?? Ningependa kufahamu zaidi.
 
Hii imenikumbushia ile movie ya "More Money" mmojawapo wa wale Wayans brothers alipoamka asubuhi na kuanza kupiga kelele "It wasnt me" baada ya kumtizama vyema bidada aliyejivinjari naye usiku kucha baada ya kuponda raha na mipombe.

Mazingira hayo mara pengi ni ya kwenye pombe.This is the other reason unaweza ku regret, ni wazi uzuri wa mwanadada machoni pa mwanaume unakuwa waay magnified baada ya kilaji kukolea.
 
There is a joke about this guy who looks at a not-so-attractive-girl and he goes like: you are my breathalyser tonight. If you become beautiful, then I know I am drunk (mean but funny!)
 
Kama ukifanya kinyume na maumbile yaani tigo, hapo lazima ujilaumu kwani ugusa kinyesi na hasa kikinuka! Lo! Mbaya sana hii aise.
 
Pengine nikuulize una miaka mingapi? Inawezekana bado mtoto sana kwa upande wangu huwa najisikia raha kupita kiasi tena nataka tena na tena. Kama unajisikia aibu kwanini unaomba siku ingine basi usifanye.
 
mimi huwa naunganisha bao mbili kwa moja na nikimaliza macho makavu yeye ndo anajificha,chezeyaaa mimi

Mkuu,Kumbe siko peke yangu,na nikishamalizaga yeye huwaga hoooooi,hawezi hata kuinua mkomo,so analala for a while,kipindi kile wataalam wa haya masuala wanasema unapswa kuendelea kumbambia na kumpiga denda...sio kukurupuka na kuvaa boxer yako ukimuacha ana jinyonga nyonga kitandani....
 
There is a joke about this guy who looks at a not-so-attractive-girl and he goes like: you are my breathalyser tonight. If you become beautiful, then I know I am drunk (mean but funny!)
Ha ha ha!BTW unadhani kwanini watu na heshma zao wanapiga mabaamedi?Pombe mwanaharamu!

Hapo ndo ule usemi wa "Beauty is in the eyes of the beer holder" ulipopata mashiko.lol

Kwa upande mwingine, kama huyu ndugu ali "piga" bidada aliyemtamani wakati akiwa "sober" kabisa, halafu akawa disapointed mara baada ya "game", then there might be something else that turned him off.

Lakini kwasababu ya mzuka wa mapenzi hakujuwa hadi alipo cum.LOL!

Ndo maana unaambiwa "a man has two brains and just enough blood to supply one at a time"

Hii ina maana huwezi kufikiri vyema mzee akiwika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…