Baada ya TFF kushinikizwa na Yanga kumfungia refa, mechi ya Yanga vs Polisi nategemea yafuatayo

Baada ya TFF kushinikizwa na Yanga kumfungia refa, mechi ya Yanga vs Polisi nategemea yafuatayo

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Baada Ya TFF Kumfungia refarii aliyechezesha mechi ya yanga na Ruvu

Mechi Ya JUMAMOSI Dhidi Ya Polisi nategemea yafuatayo

1.Mchezaji wa Polisi lazima apewe kadi nyekundu

2.Refa atachezesha kwa sheria 23 baada Ya 17 ili Yanga isifungwe( Muro msemaji wao alisema kuna hizo sheria)

3. Endapo Yanga haitapata points 3 Basi Refarii atakuwa hatarini kwa Wapenzi wa Yanga ambao wameshaaminishwa kuwa wachezaji Wao wanaonewa
 
Back
Top Bottom