Baada Ya TFF Kumfungia refarii aliyechezesha mechi ya yanga na Ruvu
Mechi Ya JUMAMOSI Dhidi Ya Polisi nategemea yafuatayo
1.Mchezaji wa Polisi lazima apewe kadi nyekundu
2.Refa atachezesha kwa sheria 23 baada Ya 17 ili Yanga isifungwe( Muro msemaji wao alisema kuna hizo sheria)
3. Endapo Yanga haitapata points 3 Basi Refarii atakuwa hatarini kwa Wapenzi wa Yanga ambao wameshaaminishwa kuwa wachezaji Wao wanaonewa