Baada ya timu ya Okwi kumtandika mwingine 3-0, Yapaa hadi nafasi ya pili

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Timu ya yule mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika huu ukanda wa CECAFA, leo usiku ilikua uwanjani na ikaibuka na ushindi wa 3-0.. Baadhi ya picha ni kama ifiuatavyo..

Huyu white anaitwa Tommy Bechmann hapa akishangilia goli la kwanza.
View attachment 277595

Hapa huyu kipa wa Hobro akijaribu kumzuia Bechmann.. Lakini Bechmann alitupia kambani.
View attachment 277597

Hapa beki wa mabingwa watatajiwa wa Superliga ya Denmark, akicontroll mpira anavyotaka.
View attachment 277598

Kukabwa na kijiji si Zenji tu.. Hapa midfielder ya SonderjyskE ikijaribu kudhibitiwa na kijiji cha Hobro.
View attachment 277599

Katika ligi ya Superliga, ufuatao ni msimamo wa timu zenye kiwango bora kabisaaaa kwa sasa.
View attachment 277601

Katika ligi ya Superliga, ifuatayo ni list ya wafungaji wanaoongoza kwa kutupia nyavuni.. Namba 3 ni mchezaji anayemweka Okwi benchi.. Naimani Okwi akipewa nafasi mechi 2 tuu zijazo namba 1 itakua ni yake.
View attachment 277602

Huu ndo msimamo wa Superliga kwa sasa.. baada ya timu ya yule mchezaji bora kuwahi kutokea CECAFA kucheza leo na kushinda tatu kavu.
View attachment 277594

NOTE: Baada ya kupona maumivu ya Enka yaliyokua yakimsumbua leo Okwi alikua Benchi.. Hapa chini ni substitutes wa mechi za leo.
View attachment 277604

Mechi ijayo tutakutana na Bròndy tarehe 23/08 nyumbani kwao.
View attachment 277603

".. MUNGU mbariki Emmanuel Okwi.. MUNGU ibariki SonderjyskE" - sembo

CREDIT: Getty Images na Mtumpole
 
Last edited by a moderator:
Mbona humuongelei na NGASA?

Mkuu kwahiyo tunapangiana cha kupost?! Mi ni mshabiki wa Timu bora kwa sasa Denmark, SonderjyskE na mabingwa watarajiwa wa ligi kuu ya Bongo, Simba SC hivyo niko huru kupost chochote.. ndio maana naleta updates zao.. Za huyo Ngassa hata wewe unaweza leta.
 
Nyie mikia mnashida sana,mwaka tutawashikisha adabu wachawi wakubwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…