Wadau kila nikiliangalia hili paipu langu tangu nikate govi naona limezidi kuwa kubwa.
Hapo Kabla ya tohara lilikuwa si haba hadi baadhi ya totos walikuwa wana-cancel mechi Mara tu wanapoliona katika pre-match preparation, sasa saivi sijui itakuwaje.
kawaida bhana usijali,yangu baada ya tohara mpaka sasa kichwa kimekaa kama mdomo wa kitimoto,si unajua umekaa kama mfuniko vile,kudadadeki wanaenjoy maana inaziba balaa
hamna cha limekuwa kubwa ama nini......... ni kwamba wewe govi lilikuwa linakufunika huoni vyema kichwa cha uume wako. sasa baada ya kulikata unaona kichwa kama kitu kigeni machoni mwako. ukishazoea kumuona yuko kichwa wazi huashangaa tena.
mfano mzuri ni huu ukizoea kumwona mdada anasuka nywele tuu basi siku akinyoa uta mwona kabadilika like wise ndivyo ilivyo kwako.
BTW hongera kwa kuwa msafi na kujikinga na ugonjwa wa LAWALAWA