Baada ya tohara nyuzi zimekatika; pamekuwa na kidonda na chini ya uume pia pana kidonda kikubwa. Nitumie dawa gani kikauke?

Maker12

New Member
Joined
Dec 29, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Baada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?
 
Baada ya tohara nyuzi zimeachia na kumekua na kidonda kuzunguka uume nitumie dawa gani kuweka uume wangu sawa?
Mkuu pole kwa kukata suna kuondoa govinda ninakupa dawa itakayoweza kukusaidia kupona na ukipona lete mrejesho hapa hapa tena. Safisha hicho kidonda chako kwa maji ya uvuguvugu kisha kausha kiwe kikavu kwa taulo safi kisha pakaa Asali asubuhi na jioni kwa siku 7 utapona kidonda chako hakikisha upate asali safi haija chakachuliwa. Au upate Mu-Alovera aka Mshubiri jani lake kamuwa upate utomvu wake uwe unajipakaa sehemu yanye kidonda asubuhi na jioni kwa muda wa siku 7 mpaka siku 14 utapona kabla hujafikisha hizo siku.Uguwa pole.
 
shukuru San nilitumia utomvu wa mu alovera
Nashukur ndan ya siku kumi kiliunga nakupona kbs nilitumia mu alovera
 
kama siyo ngosha basi ni Iringa/Njombe. Hongera kwa kuvua sweta
 
Hongera kwa kukata govi jamaa angu ila unaroho ngumu sisi shuleni mtu alikua akiwa na govinda anataniwa mpaka unatamani kuacha shule ila mwenzetu umekaa nalo mpaka ukubwani. Hongera sana kwa kukubali kukuta govi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…