The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Tukiacha bias zetu, Serikali ya awamu ya Sita inafanya mambo makubwa sana kirahisi,Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Akitoa taarifa ya Makusanyo na matumizi kwa Halmashauri kwa kipindi cha nusu mwaka(July- December 2021/2022,Waziri wa Tamisemi Innocent Bashungwa amesema Halmashauri zimevuka malengo ya Makusanyo Kwa kukusanya sh.Bilioni 470 sawa na asilimia 107% ya lengo.
Aidha Makusanyo yameongezeka kwa bil.80 zaidi ukilinganishwa na makusanyo ya mwaka 2020..
My take..
Samia anazidi kuupiga mwingi, hongera Sana. Tunaomba usimamizi wa matumizi ya pesa uendane na thamani ya halisi ya miradi inayotekelezwa.
View attachment 2099063
Daaah,Bila kelele wala kufoka,ni mwendo wa kulembua tu na mambo yanaenda.
Kazi na Bata.
Waziri katoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa kwamba walivyosimamia miradi ya uviko ndivyo pia wasimamie matumizi ya miradi ya Makusanyo ya ndani.Hapo kwenye matumizi na miladi kuendana na makusanyo ndo pakuishauri serikali wawe wawazi, namakini pia katika matumizi
Mchezo gani huo?Mchezo ni ule ule. Kutawala bongo ni rahisi zaidi ya kuwa kichwa cha familia.
Na wewe lembua tuone kama mambo yataendaBila kelele wala kufoka,ni mwendo wa kulembua tu na mambo yanaenda.
Kazi na Bata.
Kila kitu Kinafanyika site,humu JF huwezi yaona tembelea miradi utaona.Tuone matumizi siyo kwenye makaratasi na kuonesha sura zenu kwa tv. Huu si ukweli. Pambeni tu mdoli uwateue
Wa kufurahisha mkuu huku hali halisi ya makusanyo ikiwa chini sana.Mchezo gani huo?
Acha porojo mkuu,Zama za Giza zilienda na Mwendazake..Wa kufurahisha mkuu huku hali halisi ya makusanyo ikiwa chini sana.