baada ya tunda la siku moja, kajikata, karudi baada ya 2 months stori kibao anataka msamaha

alikuwa njia panda, kusuka au kunyoa?
sasa ameamua kusuka, mwambie best yako ampokee kwa mikono miwili...

Kumbe hafai,angechagua kunyoa ingekuwa safi mana hata akitaka kusuka atakuwa hana nywele kwa hiyo atashindwa,kwa kuwa ameamua kusuka cku akiamua kunyoa ni fasta tu kiasi cha kumtafuta kinyozi kwishney!
 
No, nimemwambie amkaushie kwanza mpaka wana JF watoe ushauri japo mpaka hapa naona inabidi atemwe fasta, na simu zake hakuna kupokea ila gift apokee kwa ajili ya kupunguza maumivu ya kukaushiwa two months.
Au mnasemaje?

Aachane na huyo jamaa na pia hizo zawadi asipokee. Kama ataachana milele nae haina haja ya hizo zawadi! Akipokea hizo zawadi huyo demu anakuwa sitaki nataka, yaani yule jamaa atakuwa anatumia kama ndio njia ya kumtongozea tena huyo dada sababu ataona udhaifu wa dada upo kwenye vizawadi.
 
asimpe tunda kwa miezi6 kama jamaa atakomaa basi yupo seriuos kurudi jumla lakini navyojuwa atachemshia njiani,,,,,ila huyo rafiki yako kama alikuwa ana mizinga sana kwa jamaa apunguze wengi ukimbiwa kwa sababu hyo
 
Canta naona umetoka kivingine, Phillip Madero atakuachia kweli?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…