GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao.
Imeisha hiyo.
Imeisha hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao.
Imeisha hiyo.
Najua umeandika huku ukiwa na mafindo findo kooni yaliyojawa na wivu wa Yanga kufanya vizuri kwa kuwa na performance ya hali ya juu wakiwa na uzi wao mweusi. Hili sio kwa maelekezo ya Mganga bali tu ni mitazamo ya watu tunaona ni moja ya jezi yenye bahati kwa Yanga pindi wavaliyapo uzi wao mkali kabisa mweusi.Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao.
Imeisha hiyo.
Unatesekea wapi?Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao.
Imeisha hiyo.
Hata Msemaji wenu alituambia juzi kwamba hii ndo jezi mnayoitegemea!Katika mechi 47 nyeusi imetumika Mara ngapi?
Hujanijibu swaliHata Msemaji wenu alituambia juzi kwamba hii ndo jezi mnayoitegemea!
Nimewaandikia wanaonielewa na siyo Mpumbavu na Mwendawazimu Mmoja Wewe sawa?We jamaa upokonywe simu kwa kipindi hiki kigumu unachopitia,sasa hapo umeandika nini?
Nani amekwambia amekuelewa?Nimewaandikia wanaonielewa na siyo Mpumbavu na Mwendawazimu Mmoja Wewe sawa?
Ngada! Ngada! Ngada!Timu inashinda kwa nyota kali za majina ya wachepushaji wakubwa waliyoichezea na ambao wameweka saini zao.
Imeisha hiyo.
[emoji23][emoji23]wanaruka na kukanyaganakwahiyo bahasha au jezi nyeusi,mbon hamna msimsmo nyie makolo