Toka Ellon Musk abadilishe mtandao wa twitter na kuuita X umepoteza mvuto kabisa.
Hapo mwanzo niliipenda sana twitter ila sasa acha niachane nayo. Muda mwingi notifications za twitter zinakuja nakuta icons 'X' zimekuwa nyingi kwenye notifications bar.
Mwanzo tulikuwa tunakuta icon ya twitter kama ndege flani hivi, ila sasa kuna bonge la X
Sisi mimi tu, tupo wengi tulioacha kuipenda twitter
Mvuto na ubaya wa X upo kwenye wewe na followers wako mkuu. What you post, what you follow, what you retweet and what you like best reflects you. X(Twitter) imezidi kuwa deal boss na sasa wana wanaendelea kula midollar ya Elon Mask