Baada ya Ubelgiji na Uingereza, Canada nayo yaiwekea vikwazo Rwanda kufuatia vita inayoendelea Congo

MBOKA NA NGAI
 
Ule mkutano alioenda Felix kule Germany naona unaanza kuzaa matunda ingawa bado
 
Atazuiwa yy peke yake. Wengine wataendelea kama kawaida. Tena yeyote atakayejaribu kumbeba, naye huyo atajumlishwamo kwenye vikwazo.
Huyo jamaa kajanja jana juzi wamewekeana mkataba na Uganda hivyo atamtua Uganda kupitisha mizigo yake ninavyojua mimi kuna hiyo issue amejihami incase
 
Kenya na Tanganyika wakiamuaa asitumie bandari zao ,mwezi hauishi lazima akubali kila kitu.
Tena watakuwa na sababu yenye mashiko kwamba:
1. Wanajeshi wa Kenya walipelkwa mwanzoni walifurushwa tena kwa kshfa kubwa.
2. Wanajeshi 2+ wa Tanzania JW wameuawa juzi na Afande mmoja wa JW alipekuliwa wa dharau kubwa i.e. walidhalilishwa sana hapo mpakani licha ya kwamba hawakuwapo huko DRC kwa ajili ya mapambano bali ni kulinda amani.
NB: Ni bora sana Tolu na mgambo wake walazimishwe kutema bungo.
 
Huyo jamaa kajanja jana juzi wamewekeana mkataba na Uganda hivyo atamtua Uganda kupitisha mizigo yake ninavyojua mimi kuna hiyo issue amejihami incase
Mbona hata huko Kenya atakuwa amezuiliwa kama Kenya na Tz tutakuwa letu ni moja? Tolu nasa genge lake watakuwa ni Land locked country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…